MMM
Mrejesho
Wasiliana Nasi
Barua Pepe
ENGLISH
KISWAHILI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Bodi ya Nyama Tanzania
Mwanzo
Kuhusu TMB
Historia
Dira na Dhamira
Misingi Mikuu
Utawala
Muundo wa kiutawala
Majukumu ya Bodi
Wajumbe wa Bodi
Huduma Zetu
Usajili
Masoko
Ukaguzi
Ushauri wa Kiufundi
Machapisho
Sera
Sheria
Miongozo
Vipeperushi
Habari
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Habari
Matukio
Matangazo
Hotuba
Tozo
Ada ya Usajili na kuhuwisha
Ada ya Kusafirisha Bidhaa za nyama Nje na Ndani ya nchi
Huduma za Mtandao
Mfumo wa Usajili na vibali (MIMIS)
MMM
Mrejesho
Wasiliana Nasi
Barua Pepe
Bw. John Lucas Chassama
Kaimu msajili
Karibu
|
Wasifu
Afisa Mifugo wa Bodi ya Nyama Tanzania Bw. Martin Mkindi akiwasilisha mada kwa watoa huduma katika maduka ya nyama kwenye mafunzo ya siku moja kwa wahudumu hao juu ya utoaji huduma bora ili kulinda afya ya mlaji. Mafunzo yamefanyika April 30, 2025 jijini Dodoma.
Afisa Mfawidhi, Kanda ya Magharibi Bw. Joseph Kulwa (kulia) akitoa maelekezo kwa wafanyabiashara ya nyama na wahudumu wa machinjio ya Kuanza Utekelezaji wa Kuitumia Machinjio ya nguruwe iliyopo Mtaa wa Manzese, Manispaa ya Kahama- Shinyanga, kuanzia Mei 01, 2025.
Maafisa kutoka Bodi ya Nyama Tanzania wakiwa katika Hoteli ya Arusha Palace walipokuwa katika ziara ya kutembelea Hoteli za Kitalii na kuzungumza na wamiliki juu ya fursa zilizopo katika mnyororo wa thamani kwa sekta ya nyama. Ziara hiyo ilifanyika jijini Arusha Aprili 14 hadi 17, 2025.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania Bw. John Chassama (wa pili kushoto) atembelea na kukagua kiwanda cha nyama rotiana cha orpuli kilichopo Simanjiro.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania Bw. John Chassama (wa pili kushoto) atembelea na kukagua kiwanda cha nyama rotiana cha orpuli kilichopo Simanjiro.
Watumishi wa Bodi ya Nyama Tanzania washiriki Bunge Marathon April 12, 2025 jijini Dodoma
Sehemu ya wafanyabiashara ya hoteli walioshiriki mafunzo ya taratibu za ufanyaji wa biashara ya nyama yaliyotolewa na Bodi ya Nyama Machi 20, 2025 jijini Dodoma.
Watumishi wanawake wa Bodi ya Nyama Tanzania washiriki Kongamano la Kanda ya Kati kuelekea kilele cha siku ya wanawake Duniani lililofanyika jijini Dodoma Machi 3, 2025.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania Bw. John Chassama akiongea na watumishi wa Bodi hiyo (hawapo pichani) katika mafunzo ya siku mbili yaliyofanyika Novemba 29 hadi 30, 2024 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Kuku na ndege wafugwao, yanayofanyika mlimani City jijini Dar Es Salaam Oktoba 18, 2024.
Previous
Next
Highlights | News
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia ta...
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia ta...
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia ta...
MUHTASARI WA UTAFITI WA BEI YA NYAMA
Habari Mpya
Tazama Zaidi
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 25 Aprili 2025.
28 Apr, 2025
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 18 Aprili 2025.
23 Apr, 2025
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 11 Aprili 2025.
15 Apr, 2025
MUHTASARI WA UTAFITI WA BEI YA NYAMA
15 Apr, 2025
Matangazo
Tazama Zaidi
TAARIFA YA ULIPIAJI WA HUDUMA ZITOLEWAZO NA BODI YA NYAMA
09 May, 2023
Bodi ya Nyama inawatangazia Wadau wake kuhusu mabadiliko ya mzunguko wa kuhuisha vyeti vya usajili
21 Feb, 2023
Wadau wa Tasnia ya Nyama waliolipia ada za Usajili kuanzia mwezi julai 2022 na kuhuisha wanatakiwa kuwasiliana na ofisi...
21 Feb, 2023
Bodi ya Nyama inawataka wafanyabiashara wa Nyama choma kupata usajili wa Bodi
21 Feb, 2023
Matukio
Tazama Zaidi
10
Dec 23
Maadhimisho ya siku ya Chakula duniani
World Food Day celebration
Not Located
08
Aug 23
Sikukuu ya nanenane
Nane nane Festival
NOT DEFINED
07
Jul 23
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya dar es salaam
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya dar es salaa...
Dar es Salaam Trade fair Graund
05
May 23
Siku ya yai na ndege wafugwao
Siku ya yai na ndege wafugwao
Dar es Salaam
Huduma
Taratibu za Kufanya Biashara ya Nyama na Mazao yake
Ushauri wa kiufundi
Ukaguzi
Masoko
Usajili wa Wadau wa Tasnia ya Nyama
Machapisho
01 Jan, 2008
Sheria ya Haki za Wanyama
01 Jan, 2006
Sheria ya Tasnia ya Nyama
11 Jan, 2010
Wizara ya Mifugo na uvuvi mkakati wa maendeleo ya sekta ya mifugo.
12 Jan, 2006
Sera ya Taifa ya Mifugo
Nifanyaje?
Tazama Zaidi
VIRUTUBISHO VINAVYOPATIKANA KATIKA NYAMA NYEUPE
Nyama nyeupe kama vile kuku na bata mzinga, hiki n...
VIRUTUBISHO VINAVYOPATIKANA KATIKA NYAMA NYEKUNDU
Nyama nyekundu ni chanzo cha virutubisho muhimu (v...
TOFAUTI KATI YA NYAMA NYEUPE NA NYAMA NYEKUNDU
Nyama nyekundu na nyama nyeupe ni aina mbili tofau...
KIWANGO CHA NYUZI JOTO (JOTORIDI) ZA JOKOFU LINAFAA KWA KUHIFADHI NYAMA
Jotoridi zuri kwa uhifadhi wa nyama katika jokofu...
UJUZI ANAOTAKIWA KUWA NAO MCHINJAJI AU WAKATAJI WA NYAMA
Wakataji wa nyama au wajulikanavyo kama wachinjaji...
Nyama Bora na Salama kwa Wote