Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 14 Januari 2026.
Imewekwa: 20 Jan, 2026
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 14 Januari 2026.

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka hasa kwa Ng'ombe na Mbuzi, huku bei ya Kondoo ikipanda kwa wiki inayoishia tarehe 14 Januari 2026 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa ugavi wa mifugo mnadani, huku uhitaji ukiwa ni mdogo.