kituo cha utafiti cha kongwa ndio kituo bora zaidi kinachoweza kukupatia mbegu bora zaidi za ng'ombe aina ya borani.
Ili kusafirisha nyama ya nje zingatia mambo yafutayo: 1. Pata usajili kutoka Bodi ya Nyama 2. Pata usajili kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa
Bodi ya Nyama Tanzania ipo Dar es Salaam, Mikocheni, Mtaa wa Ursino
S.L.P 6085 DSM,
Veterinary Complex
131 Barabara ya Nelson Mandela,
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : info@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.