Ada ya usajili/Ada ya kuhuisha Usajili

Ada ya Usajili 

(A)

WAFUGAJI

Ada ya Usajili (TSH)

Ada ya Kuhuisha (TSH)

 

Wafugaji Wakubwa

70,000/=

50,000/=

 

Wafugaji wa kati

70,000/=

50,000/=

 

Wafugaji Wadogo

70,00/=

50,000/=

 

Wanafuga kwa matumizi ya nyumbani

0.00

0.00

(B)

WAFANYA BIASHARA YA MIFUGO

   
 

Wafanya Biashara wa Mnada wa awali

70,000/=

50,000/=

 

Wafanya Biashara wa Minada ya Upili na Mipakani

70,000/=

50,000/=

 

Wasafirishaji wa Mifugo nje ya nchi

70,000/=

50,000/=

(C)

WAENDESHA MINADA

   
 

Mnada wa Awali

70,000/=

50,000/=

 

Mnada wa Upili

70,0000/=

50,000/=

 

Mnada wa Mpakani

70,000/=

50,000/=

 

Ada ya kulipia cheti kilichopotea ama kuibiwa

20,000/=

 

(D)

Masoko ya Mifugo

   
 

Minada ya Awali

220,000/=

200,000/=

 

Minada ya Upili

70,000/=

50,000/=

 

Minada ya Mipakani

70,000/=

50,000/=