Dira na Dhamira

Dira
Kuwa taasisi yenye ufanisi katika kuwezesha uzalishaji na usambazaji wa nyama salama na bora, ukuaji wa ushindani na endelevu wa tasnia ya nyama.
 

Dhamira


Kuhakikisha utendaji wa juu wa Sekta ya Nyama kupitia usaidizi madhubuti wa kiufundi, udhibiti na uratibu wa shughuli za wadau, kuwezesha uwekezaji wa uhakika na upatikanaji wa taarifa za soko.