MMM
Mrejesho
Wasiliana Nasi
Barua Pepe
ENGLISH
KISWAHILI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Bodi ya Nyama Tanzania
Mwanzo
Kuhusu TMB
Historia
Dira na Dhamira
Misingi Mikuu
Utawala
Muundo wa kiutawala
Majukumu ya Bodi
Wajumbe wa Bodi
Huduma Zetu
Usajili
Masoko
Ukaguzi
Ushauri wa Kiufundi
Machapisho
Sera
Sheria
Miongozo
Vipeperushi
Habari
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Habari
Matukio
Matangazo
Hotuba
Tozo
Ada ya Usajili na kuhuwisha
Ada ya Kusafirisha Bidhaa za nyama Nje na Ndani ya nchi
Huduma za Mtandao
Mfumo wa Usajili na vibali (MIMIS)
MMM
Mrejesho
Wasiliana Nasi
Barua Pepe
Bw. John Lucas Chassama
Kaimu msajili
Karibu
|
Wasifu
Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Bodi ya Nyama Tanzania na DSFA zakutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mifugo na Uvuvi na kuwasilisha taarifa ya Utendaji, mafanikio, changamoto na utatuzi wa changamoto kwa kipindi cha Julai 2024 hadi Desemba 2024. Kikao hicho kilifanyika Januari 15, 2025.
Picha ya pamoja kati ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB), Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) na Muwekezaji wa Kiwanda cha Nyama cha Orpul kilichopo Simanjiro baada ya kikao cha kujadili namna ya kukifufua kiwanda hicho. Kikao hicho kilifanyika 15.01.2025 jijini Arusha.
Picha ya pamoja ya baadhi ya Wadau wa Tasnia ya Nyama Nchini walioshiriki kikao cha kutoa maoni yahusuyo kodi na tozo zinazowakabili na mapendekezo yao kwa Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Kodi, kilichofanyika 17.01.2025 Jijini Arusha.
Picha ya pamoja ya baadhi ya Wadau wa Tasnia ya Nyama Nchini walioshiriki kikao cha kutoa maoni yahusuyo kodi na tozo zinazowakabili na mapendekezo yao kwa Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Kodi, kilichofanyika 17.01.2025 Jijini Arusha.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania Bw. John Chassama akiongea na watumishi wa Bodi hiyo (hawapo pichani) katika mafunzo ya siku mbili yaliyofanyika Novemba 29 hadi 30, 2024 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Kuku na ndege wafugwao, yanayofanyika mlimani City jijini Dar Es Salaam Oktoba 18, 2024.
Wachezaji na viongozi wa timu za Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakishangilia wakiwa wamebeba soseji walizokabidiwa na Bodi ya Nyama Tanzania katika kambi ya michezo ya Wizara hiyo katika michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro, Septemba 29,2024
Wachezaji na viongozi wa timu za Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakishangilia wakiwa wamebeba soseji walizokabidiwa na Bodi ya Nyama Tanzania katika kambi ya michezo ya Wizara hiyo katika michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro, Septemba 29,2024
Meneja Idara ya Ufundi kutoka TMB Bi. Afsa Milandu akiongoza kikao cha zoom kujadili ushirikiano kati ya Bodi ya Nyama na Idara ya Huduma za Mifugo kuhusu ukaguzi wa vibali vya kuingiza na kuuza nyama nje ya nchi mipakani.
Mtaalam wa machinjio (wa kwanza kulia) akitoa maelezo kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (mwenye shati la bluu) kuhusu namna uchinjaji wa mifugo unavyofanywa na mtambo wa kisasa kwa kuzingatia uelekeo wa Kibla katika machinjio ya kisasa ya UMAL iliyopo Chalinze, Mkoani pwani alipotembelea machinjio hayo Agosti 26.
Previous
Next
Highlights | News
Taarifa ya soko la mifugo (Mbuzi na Kondoo) kwa wiki inayoishia Januari 17, 2025
Taarifa ya soko la mifugo (Ng'ombe) kwa wiki inayoishia Januari 17, 2025
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia ta...
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia ta...
Habari Mpya
Tazama Zaidi
Taarifa ya soko la mifugo (Mbuzi na Kondoo) kwa wiki inayoishia Januari 17, 2025
20 Jan, 2025
Taarifa ya soko la mifugo (Ng'ombe) kwa wiki inayoishia Januari 17, 2025
20 Jan, 2025
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 17 Januari, 202...
17 Jan, 2025
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 10 Januari, 202...
13 Jan, 2025
Matangazo
Tazama Zaidi
TAARIFA YA ULIPIAJI WA HUDUMA ZITOLEWAZO NA BODI YA NYAMA
09 May, 2023
Bodi ya Nyama inawatangazia Wadau wake kuhusu mabadiliko ya mzunguko wa kuhuisha vyeti vya usajili
21 Feb, 2023
Wadau wa Tasnia ya Nyama waliolipia ada za Usajili kuanzia mwezi julai 2022 na kuhuisha wanatakiwa kuwasiliana na ofisi...
21 Feb, 2023
Bodi ya Nyama inawataka wafanyabiashara wa Nyama choma kupata usajili wa Bodi
21 Feb, 2023
Matukio
Tazama Zaidi
10
Dec 23
Maadhimisho ya siku ya Chakula duniani
World Food Day celebration
Not Located
08
Aug 23
Sikukuu ya nanenane
Nane nane Festival
NOT DEFINED
07
Jul 23
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya dar es salaam
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya dar es salaa...
Dar es Salaam Trade fair Graund
05
May 23
Siku ya yai na ndege wafugwao
Siku ya yai na ndege wafugwao
Dar es Salaam
Huduma
Taratibu za Kufanya Biashara ya Nyama na Mazao yake
Ushauri wa kiufundi
Ukaguzi
Masoko
Usajili wa Wadau wa Tasnia ya Nyama
Machapisho
01 Jan, 2008
Sheria ya Haki za Wanyama
01 Jan, 2006
Sheria ya Tasnia ya Nyama
11 Jan, 2010
Wizara ya Mifugo na uvuvi mkakati wa maendeleo ya sekta ya mifugo.
12 Jan, 2006
Sera ya Taifa ya Mifugo
Nifanyaje?
Tazama Zaidi
VIRUTUBISHO VINAVYOPATIKANA KATIKA NYAMA NYEUPE
Nyama nyeupe kama vile kuku na bata mzinga, hiki n...
VIRUTUBISHO VINAVYOPATIKANA KATIKA NYAMA NYEKUNDU
Nyama nyekundu ni chanzo cha virutubisho muhimu (v...
TOFAUTI KATI YA NYAMA NYEUPE NA NYAMA NYEKUNDU
Nyama nyekundu na nyama nyeupe ni aina mbili tofau...
KIWANGO CHA NYUZI JOTO (JOTORIDI) ZA JOKOFU LINAFAA KWA KUHIFADHI NYAMA
Jotoridi zuri kwa uhifadhi wa nyama katika jokofu...
UJUZI ANAOTAKIWA KUWA NAO MCHINJAJI AU WAKATAJI WA NYAMA
Wakataji wa nyama au wajulikanavyo kama wachinjaji...
Nyama Bora na Salama kwa Wote