• MMM
  • Wasiliana Nasi
  • English

Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Bodi ya Nyama Tanzania

  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Majukumu ya Bodi
    • Bodi ya Wakurugenzi
  • Huduma
    • Usajili
    • Masoko
    • Ukaguzi
    • Ushauri wa Kiufundi
    • Utaratibu wa Kufanya Biashara ya Nyama na Bidhaa zake
      • Utaratibu wa kufanya Biashara ya Nyama ndani ya nchi
      • Utaratibu wa kufanya Biashara ya Nyama na Bidhaa za Nyama nje ya nchi
  • Mfumo Usajili/Vibali
  • Machapisho
    • Sera
    • Sheria
    • Kanuni
    • Fomu
    • Vipeperushi
  • Taarifa za jumla
    • Hali ya Uzalishaji wa Nyama
    • Takwimu za Uingizaji/usafirishaji wa Nyama
  • Tozo
    • Tozo
    • Ada ya Usajili na Kubakisha
    • Ada za kuagiza na kuingiza Bidhaa za Nyama
  • Home
  • Page title

Nifanyaje

Kupata Usajili wa Biashara ya Nyama na Mazao yake

VIGEZO VYA USAJILI 1 Mfugaji/Mmiliki wa shamba la mifugo -Awe na eneo la ufugaji linalotambuliwa na Mamlaka za Serikali za Mitaa na awe na anuani ya kudumu -Awe mfugaji anayefuga kwa lengo la biashara -Awe analisha mifugo yake vyakula vinavyotambuliwa na Sheria za Magonjwa ya Wanyama Na. 17 ya mwaka 2003 na Maeneo ya Malisho na Vyakula vya Mifugo Na. 13 ya mwaka 2010 -Awe anamilki mifugo ya nyama isiyopungua ng’ombe 5, mbuzi 20, kondoo 20 au nguruwe 15 kwa mwaka au kuku 1000 kwa wakati mmoja 2. Minada ya Mifugo -Mnada wa awali, upili au mpakani ulioanzishwa kisheria -Mnada unaokidhi mahitaji ya miundombinu ikiwemo mizani, eneo la kupumzisha mifugo, kiringe cha kunadishia kama ilivyoelekezwa kwenye Kanuni Na. 6 ya kuanzisha, kusimamia na kuendesha minada ya mwaka 2010. 3. Msimamizi wa Mnada -Awe mwenye elimu ya kiwango kisichopungua Astashahada ya uzalishaji na afya ya mifugo kwa minada ya awali na Stashahada ya uzalishaji wa mifugo kwa minada ya upili na mipakani -Awe ameteuliwa na mamlaka husika. 4. Dalali -Awe na leseni ya udalali -Awe ameomba kazi ya udalali katika mamlaka husika inayomiliki mnada na kukubalika -Awe na uzoefu wa biashara ya mifugo. 5. Mfanyabiashara wa Mifugo hai ndani na nje ya nchi -Awe na anuani -Awe analipa kodi za serikali -Awe na leseni ya biashara. 6 Vyama na Vikundi vya Wadau Vyama vitakavyosajiliwa ni pamoja na vyama na vikundi vya wafugaji, wafanyabiashara, wasindikaji, walaji, wauza pembejeo, wauzaji na waangizaji nyama, bidhaa zake na pembejeo nje ya nchi. Vyama hivyo vinatakiwa kuwa na sifa zifuatavyo:- -Viwe vimesajiliwa kisheria -Viwe na Katiba -Viwe na ofisi yenye watendaji na inayofanya kazi -Viwe na njia mbalimbali za kuongeza mapato na akaunti benki -Viwe na wanachama hai -Viwe hai na vinavyofanya mikutano kwa mujibu wa katiba.

Utaratibu wa kufanya biashara ya nyama nje ya nchi

Utaratibu wa kufanya biashara halali ya mifugo ndani na nje ya nchi;- - Cheti cha Usajili wa Wadau kwa mujibu wa kifungu Na.17 (1)-(3) cha sheria ya nyama Na.10 ya mwaka 2006 -Usajili wa kampuni au jina la biashara kutoka BRELA -Namba ya mlipa kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya kodi ya Mapato Tanzania (TRA) -Leseni ya kusafiriisha bidhaa kwenda nje ya nchi kutoka BRELA -Cheti cha usajili wa nyama na bidhaa zake kutoka Mamlka ya Chakula na Dawa (TFDA) Cheti cha Utambulisho wa Asili ya Bidhaa kutoka Chemba ya Biashara , Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA)

Huduma

  • Huduma Zetu

Matangazo

  • TAARIFA YA MIFUGO KATIKA MNADA WA PUGU KWA WIKI INAYOISHIA DISEMBA 9, 2022 December 13, 2022
  • Mgawanyo wa Masoko Novemba 2022 December 13, 2022
  • orodha ya machinjio yaliyoidhinishwa kwa mauzo ya nje September 26, 2022
  • Wasafirishaji wa bidhaa za nyama waliosajiliwa na bodi ya nyama Tanzania September 26, 2022
Soma zaidi

Habari Mpya

  • add some text here to discribe the image

    Ripoti ya Taarifa ya Soko la Mifugo (Shoat) kwa Wiki inayoisha tarehe 20 Januari, 2022

    Jan 25, 2023
  • add some text here to discribe the image

    Taarifa ya Soko la Mifugo (Ng'ombe) kwa Wiki ya Wiki inayoisha tarehe 20 Januari 2022.

    Jan 25, 2023
  • add some text here to discribe the image

    Taarifa ya Soko la Mifugo (Ng'ombe) kwa Wiki ya Wiki inayoisha tarehe 20 Januari 2022.

    Jan 25, 2023
  • Habari Zaidi
Tanzania Census 2022

Wasiliana Nasi

S.L.P 1344 DODOMA,

Area D, Mtaa wa Ndugai,

Barabara ya Magufuli

Nukushi :
Simu : +255734210199
Barua pepe : barua@tmb.go.tz

Kurasa za Karibu

  • Utaratibu wa kufanya biashara ndani/nje ya nchi
  • Usajili

Tovuti Mashuhuri

  • TCCIA
  • Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
  • TBS
  • Wizara ya Mifugo na Uvuvi
  • Wakala ya Serkali Mtandao

Mitandao ya Kijamii

  • Sera ya Faragha
  • Angalizo
  • MMM
  • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.