Ada ya Kusafirisha Bidhaa za nyama Nje na Ndani ya nchi

Ada ya Kusafirisha  Bidhaa za nyama Nje na Ndani ya nchi

Tozo inayolipwa kwa mujibu wa kanuni ya kuingiza na kutoa nyama na bidhaa zake ndani na nje ya nchi ya mwaka 2014

  • Ada ya asilimia (2%) ya thamani ya Nyama au Bidhaa za Nyama zinazoingizwa kwa kila mzigo.
  • Ada ya asilimia 70,000 kwa Nyama au Bidhaa za Nyama zinazosafirishwa nje ya nchi kwa kila mzigo.