Kuanzia Januari 2022 hadi Machi, 2022, Tanzania iliagiza tani 90.76 za nyama kati ya hizo, tani 85.3 ambapo kutoka Kenya
Mwenendo wa mauzo ya nyama katika mwaka wa Fedha wa 2021-2022
IKatika robo ya tatu kuanzia Januari hadi Machi, 2022 Qatar imekuwa kivutio kikuu cha nyama inayosafirishwa kutoka Tanzania.
Inzi huvutiwa na harufu mbaya inayotokana na kuharibika kwa nyama buchani. Hivyo suluhisho la kutokuwepo kwa inzi buchani ni usafi wa kina na sio kutumia dawa za kuulia inzi.
Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania Dkt Daniel Elias Mushi , aliyasema hayo
S.L.P 1344 DODOMA,
Area D, Mtaa wa Ndugai,
Barabara ya Magufuli
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : barua@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.