Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 18 Februari, 2026.
Imewekwa: 25 Feb, 2026
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 18 Februari, 2026.

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda  kwa wiki inayoishia tarehe 18 Februari, 2026 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani, huku uhitaji ukiwa ni mkubwa.