Bodi ya Nyama inawatangazia Wadau wake kuhusu mabadiliko ya mzunguko wa kuhuisha vyeti vya usajili
Imewekwa: 21 Feb, 2023

USAJILI NA UHUISHAJI WA KAZI ZA WADAU

Ukomo wa usajili (cheti) wa mdau ni kila tarehe 30 juni ya kila mwaka baada kusajiliwa au kuhuisha usajili.Hivyo wadau katika tasnia ya nyama wanajulishwa kuhuisha usajili wao kila ifikapo tarehe 30 ya mwezi Juni ya kila mwaka.