Wadau wa Tasnia ya Nyama waliolipia ada za Usajili kuanzia mwezi julai 2022 na kuhuisha wanatakiwa kuwasiliana na ofisi za Bodi kupata vyeti vyao vya usajili
Imewekwa: 21 Feb, 2023

VYETI VYA USAJILI

Wadau wote wanapaswa kusajiliwa kwenye mfumo wa mimis (Mifugo intergrated management information system) kupitia kiungo kifuatacho https://mimis.mifugo.go.tz  mfumo huu unawataka wadau kuwa na akaunti zao ili kurahisisha upatikanaji wa vyeti. Kwa ambao wamelipia usajili au kuhuisha usajili wanatakiwa kuwasiliana na Bodi ya nyama ili kuelekezwa namna ya kupata vyeti vyao.