KIWANGO CHA NYUZI JOTO (JOTORIDI) ZA JOKOFU LINAFAA KWA KUHIFADHI NYAMA
Imewekwa: 12 Apr, 2023

Jotoridi zuri kwa uhifadhi wa nyama katika jokofu zinatakiwa ziwe kati ya ni nyuzi joto 0 za sentigredi (0°C / 32°F) na nyuzi joto 4.4 za sentigredi (4.4°C). katika kiwango hiki cha jotoridi ukuaji wa vimelea vya hatarishi vya bakteria unapunguzwa taratibu, hivo kusaidia kuzuia maambukizi ya magonjwa yatokananyo na kula vyakula vilivoharibika.

Ni muhimu kuzingatia kuwa aina tofauti za nyama zinakuwa na jotoridi tofauti katika utunzaji, hivyo ni muhimu kufuata maagizo yanayotolewa kuhusu jotoridi la kuhifadhi nyama kwa matumizi salama. Hapa chini kuna baadhi ya miongozo elekezi kwa utunzaji wa nyama katika jokofu: