Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 21 Januari 2026.
Imewekwa: 21 Jan, 2026
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 21 Januari 2026.

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda  kwa wiki inayoishia tarehe 21 Januari 2026 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani, huku uhitaji ukiwa ni mkubwa.