1.0 USAJILI
Wadau wote wa tasnia ya nyama wanahitajika kutambuliwa na kusajiliwa kisheria na Bodi ya Nyama, kwa mujibu wa kifungu Na.17 (1) -(3) cha Sheria ya Nyama Na.10 ya Mwaka 2006 ili kupata uhalali wa kufanya biashara ya aina yoyote katika tasnia ya nyama. Pia inatoa vyeti vya kuruhusu kuuza na kuingiza nyama na bidhaa zake nje na ndani ya nchi (Clearance Certificate for Livestock or Meat and/or Meat Products Import/Export Certificates).
S.L.P 1344 DODOMA,
Area D, Mtaa wa Ndugai,
Barabara ya Magufuli
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : barua@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.