Ripoti ya taarifa ya bei za Mifugo Sokoni kwa wiki iliyoishia tarehe 28 Aprili 2023
Imewekwa: 02 May, 2023
Ripoti ya taarifa ya bei za Mifugo Sokoni kwa wiki iliyoishia tarehe 28 Aprili 2023

Bodi ya Nyama Tanzania (TMB)imetoa taarifa ya bei za mifugo kwa masoko ya Longido BorderMarket, Kizota(Dodoma), Igunga(Tabora), Mhunze(Kishapu), Nyamatala(Misungwi), Rukole, Meselani(Monduli), Themi(Arusha),Weruweru(Moshi), Wasso(Loliondo), Mutukura(Misenyi) kwa wiki iliyoishia 28 Aprili, 2023