Ripoti ya Taarifa ya Soko la Mifugo (Ng'ombe) kwa Wiki inayoisha tarehe 21 Aprili 2023.
Imewekwa: 24 Apr, 2023
Ripoti ya Taarifa ya Soko la Mifugo (Ng'ombe) kwa Wiki inayoisha tarehe 21 Aprili 2023.

Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) imetoa Taarifa ya Soko la Mifugo kwa Masoko ya Kizota(Dodoma), Igunga(Tabora),Mhunze(Kishapu),Nyamatala(Misungwi), Wasso(Loliondo), pamoja na Soko la Mutukura(Misenyi) kwa Wiki inayoisha Ijumaa ya tarehe 21 April 2023

Taarifa hiyo ya Bei za Nyama iliyo tolewa na Bodi ya Nyama Tanzania katika baadhi ya Masoko hapa nchini bado taarifa hiyo inaambatana na Ujumbe wa kuwasisitiza Wadau, Watumiaji, na Wafanyabiashara wa Nyama na bidhaa zake kufuata na kuzingatia maelekezo Sahihi yanayotolewa na tasnia ya kusimamia, kuendeleza na udhibiti Ubora wa Nyama ndani na nje ya nchi ili kuleta Matokeo chanya kwa Watumiaji wa Nyama Nchini