Ripoti ya Taarifa ya Soko la Mifugo (Ng'ombe) kwa Wiki ya Wiki inayoisha tarehe 14 Aprili 2023.
Imewekwa: 15 Apr, 2023
Ripoti ya Taarifa ya Soko la Mifugo (Ng'ombe) kwa Wiki ya Wiki inayoisha tarehe 14 Aprili 2023.

Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) imetoa Taarifa ya Soko la Mifugo wa Nyama kwa Masoko ya Longido(Border Market), Mhunze(Kishapu), Rukole, Meserani(Monduli), Igunga(Tabora),Weruweru(Moshi) na Waso(Loliondo) kwa wiki iliyoisha ijumaa ya tarehe 14 April 2023

Kupitia Taarifa hiyo Bodi ya Nyama Tanzania inawasisistiza Watumaji, Wadau, Washiriki na Wafanyabiashara ya Nyama ndani na nje ya inchi kufuata na kuzingatia maelekezo sahihi yanayotolewa na Tasnia ya kusimamia, kuendeleza na uhakiki wa Nyama bora na bidhaa zake ili Nyama kuwa na manufaa kwa Watumiaji