Katika wiki inayoishia tarehe 30/Desemba/2022, Bei za Mifugo katika Mnada wa Pugu zimeongezeka ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kuongezeka kwa mahitaji ya Nyama na bidhaa za Nyama sokoni katika kipindi hichi cha sikukuu kimechangia ongezeko la bei ya Mifugo katika Mnada.
S.L.P 1344 DODOMA,
Area D, Mtaa wa Ndugai,
Barabara ya Magufuli
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : barua@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.