Mwenendo wa bei ya mifugo katika mnada wa pugu kwa wiki inayoishia tarehe 9 Juni, 2023
Imewekwa: 14 Jun, 2023
Mwenendo wa bei ya mifugo katika mnada wa pugu kwa wiki inayoishia tarehe 9 Juni, 2023

Bei ya mifugo katika mnada wa Pugu katika wiki inayoishia tarehe 9 June 2023 imeshuka kidogo ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita (iliyoishia tarehe 2 Juni 2023). Hali hiyo imechangiwa na kupungua kwa uhitaji wa mifugo katika mnada huo