Imewekwa: 10 Mar, 2025

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 07 Machi 2025 imepanda hasa kwa Ngombe lakini kwa Mbuzi na Kondoo bei imeendelea kuwa ileile hii imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.