Imewekwa: 27 Feb, 2025

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 7 February 2025 imeshuka hasa kwa Ngombe ukilinganisha na wiki iliyopita hii imesababishwa na kuongezeka kwa ugavi wa mifugo mnadani.