Imewekwa: 17 Sep, 2024
Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 06 Septemba 2024 imeongezeka ukilinganisha na wiki iliyopita hii imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.