Imewekwa: 09 Nov, 2026
Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka kwa wiki inayoishia tarehe 6 Novemba 2026 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa ugavi wa mifugo mnadani, huku uhitaji ukiwa ni mdogo.

