Imewekwa: 09 May, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita. Kupungua kwa bei hizo pamoja na mambo mengine kumechangiwa na kupungua kwa mahitaji ya mifugo ikilinganishwa na wiki iliyopita