Imewekwa: 09 May, 2023

Bei za wastani za mifugo katika soko la Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 5 Mei, 2023 zimepungua ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kupungua kwa bei kulichangiwa zaidi na kupungua kwa mahitaji ya mifugo