Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 31 Desemba 2025.
Imewekwa: 14 Jan, 2026
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 31 Desemba 2025.

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka kwa wiki inayoishia tarehe 31 Desemba 2025 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa ugavi wa mifugo mnadani, huku uhitaji ukiwa ni mdogo.