Imewekwa: 03 Jun, 2024

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 31 May 2024 inaonekana kutobadilika sana ikilinganishwa na wiki iliyopita kutokana na hali ya soko kubaki kawaida.