Imewekwa: 30 Nov, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani huku uhitaji ukiwa mkubwa.