Imewekwa: 03 Jul, 2023

Bei ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda ikilinganisha na bei za wiki iliyopita. Kuongezeka kwa bei katika soko kwa kiasi kikubwa kumesababishwa na kuongezeka kwa mahitaji ya mifugo yaliyotokana na sherehe za Eid Al Adha.