Imewekwa: 23 Sep, 2024
Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 30 Agosti, 2024 imeongezeka ukilinganisha na wiki iliyopita hii imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.