Imewekwa: 06 Jun, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu katika wiki inayoishia tarehe 2 June 2023 imepanda ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita. Mabadiliko hayo ya bei kwa kiasi kikubwa yametokana na kupungua kwa ugavi wa mifugo bora katika soko.