Imewekwa: 03 Oct, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.