Imewekwa: 08 Apr, 2025

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 28 Machi, 2025 imepanda bei, hii imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.