Imewekwa: 03 May, 2023

Wastani wa bei za mifugo katika soko la Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 28 Aprili, 2023 umepungua ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kushuka kwa bei kulichangiwa zaidi na ongezeko la mahitaji