Imewekwa: 02 Oct, 2024
Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 27 Septemba, 2024 imepanda ukilinganisha na wiki iliyopita hii imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.