Imewekwa: 29 Apr, 2024

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita, kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa wanunuzi katika mnada (uhitaji kushuka).