Imewekwa: 28 Apr, 2025

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka kidogo kwa wiki inayoishia tarehe 25 Aprili 2025 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa ugavi wa mifugo mnadani, huku uhitaji ukiwa ni mdogo.