Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 24 Mei 2024
Imewekwa: 03 Jun, 2024
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 24 Mei 2024

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 24 May 2024 imepanda kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo hasa mbuzi mnadani huku uhitaji ukiwa mkubwa.