Mwenendo wa bei ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 23 juni, 2023
Imewekwa: 28 Jun, 2023
Mwenendo wa bei ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 23 juni, 2023

Bei ya mifugo katika mnada wa Pugu imekuwa na mabadiliko madogo ikilinganishwa na wiki iliyopita. Ukiacha bei ya kondoo ambayo kwa ujumla wake imepanda, mifugo mingine yaani ng’ombe na mbuzi bei zake zimepanda na kushuka kwa kiwango kidogo.