Imewekwa: 26 Mar, 2024

Bei ya wastani ya mifugo ( ng’ombe na mbuzi ) katika mnada wa Pugu imepanda kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita, kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa ng’ombe na mbuzi mnadani. Kwa upande wa kondoo wastani wa bei ya kondoo imeshuka kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita, hali hii imesababishwa na kupungua kwa uhitaji wa kondoo mnadani.