Imewekwa: 25 Apr, 2023

Bei ya wastani ya ng’ombe katika mnada wa Pugu imeshuka ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita. Kupungua kwa bei hizo kumechangiwa pamoja na mambo mengine ni kuongezeka kwa ugavi wa ng’ombe bora sokoni. Kwa upande wa bei ya Mbuzi na Kondoo, imeonekana kupanda ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kupanda kwa bei ya wastani ya Mbuzi na Kondoo kumechangiwa na kupunguwa kwa ugavi sokono