Imewekwa: 01 Sep, 2023

Bei ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda ikilinganishwa na wiki iliyopita, ongezeko la bei limesababishwa na kupungua kwa ugavi (usambazaji) wa mifugo na kutokuwepo na utayari wa wafugaji kupeleka mifugo sokoni.