Ripoti ya Taarifa ya Soko la Mifugo la Pugu kwa Wiki inayoishia tarehe 19 Mei, 2023
Imewekwa: 22 May, 2023
Ripoti ya Taarifa ya Soko la Mifugo la Pugu kwa Wiki inayoishia tarehe 19 Mei, 2023

Katika wiki inayoishia tarehe 19 Mei 2023, bei ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita. Kushuka kwa ugavi wa mifugo katika mnada huo inatajwa kuchangia katika mabadiliko hayo ya bei