Imewekwa: 16 Jul, 2024
                            
                            
                        
                     
                        Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 19 Julai 2024 imeongezeka ukilinganisha na wiki iliyopita hii imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.

