Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 17 Nov 2023,
Imewekwa: 16 Nov, 2023
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 17 Nov 2023,

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na uwepo wa mvua za El nino zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam, ambapo imepelekea kushuka kwa soko.