Imewekwa: 20 May, 2024

Bei ya wastani ya mifugo hasa ng’ombe katika mnada wa Pugu inaonekana kutobadilika ikilinganishwa na wiki iliyopita, kutokana na hali ya soko kubaki kawaida. Huku bei ya wastani ya mbuzi imeshuka kidogo na ile ya kondoo imepanda kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita.