Mwenendo wa bei ya Mifugo katika Mnada wa Pugu kwa Wiki inayoishia tarehe 17 Machi, 2023
Imewekwa: 23 Mar, 2023
Mwenendo wa bei ya Mifugo katika Mnada wa Pugu kwa Wiki inayoishia tarehe 17 Machi, 2023

Bei ya Mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 17 Machi 2023 zimepanda ikilinganishwa na wiiki iliyopita. Kuongezeka kwa ubora wa mifugo inayopelekwa mnadani pamoja na kuongezeka kwa mahitaji ya mifugo kumechangia ongezeko hilo la bei