Imewekwa: 18 Jun, 2023

Katika wiki inayoishia tarehe 16 Juni 2023, mnada wa Pugu umeshuhudia kuongezeka kwa ugavi wa mifugo. Kuongezeka kwa ugavi wa mifugo kumesababisha bei ya wastani ya mifugo kupungua ikilinganishwa na wiki iliyopita