Imewekwa: 20 Feb, 2024

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita, kwa kaisi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.